Watu wa hivi ukipata changamoto alafu ukaivuka vizuri bila mkono wao huwa wanaumia sana.
Mungu aendelee kuwa upande wetu tuu π maana walimwengu ππ
Good morning familia na muwe na jumapili njema na yenye baraka zake Muumba wetu.
May 1
Kuna watu wanapenda kuabudiwa wanapenda kuona wenzao wanawalilia wao kila siku kama vile ndo Mungu wao yani wanatamani kila mkwamo wao ndo wawe suluhu π
Mungu atusaidie sana aisee tuweze kuzimudu shida zetu walau kwa asilimia 80
1
321





























